Wale wa nacte mambo tayari

Wale wa nacte mambo tayari

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
1,779
Reaction score
1,632
Achana na profile yako nenda kwenye website ya vyuo ulivyoomba majona tayari washaweka muda. Kama huwezi njoo pm nikusaidie. Utanitajia jina na vyuo ulivyoomba.

Muda ushaisha mnatakiwa kuanza kujiandaa.

Mfano jordan university kuna watu waloochaguliwa kupitia nacte zaidi ya mia. Na orientation course inaanza mwishoni mwa mwezi huu. Kwa hiyo fuatilia kama una sifa ushachaguliwa. We subiri profile ibadilike utasubiri sana
 
Naomba tuwasiliane this time, maana profile bado haimo I 0782444579
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom