Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwa wale waliomba kupitia NACTE kuanzia juma tatu lolote laweza kutokea kwakuwa mmekuwa mnaumia xana myoyoni kusubiri hayo majina yenu so kaa mkao wa kura na pia Subira yahitajika.
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Tayari wameshaweka majina ya waliochaguliwa kujiunga ngazi ya shahada kama uliomba hapo nenda kwenye website yao ukaangalie....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Utaona chuo ambacho upo selected hatakama chuo husika hakija toa majina
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Kwa wale wote waliomba kupitia NACTE walioandikiwa FUTA MACHAGUO(reset choice) fahamu kuwa course zote ulizoomba zimejaa na huna budi kuchangua zngine kwa kuclick hapo na ukiclick hapo hutoweza...
1 Reactions
68 Replies
10K Views
Jamani posts za second round zkitoka please tujurishane coz vtu vnazd kuwa vgumu...
0 Reactions
92 Replies
10K Views
Wadau tujuzane muhas lini????
0 Reactions
4 Replies
821 Views
mbona wengine tumeingia kwenye profile zetu hakuna kilchobadilka na sasa hv nikijarb naambiwa sever timed out?????? msaada kwa anaejua tafadhali!!!!!!!!!!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
The Mwalimu Nyerere Memorial Academy kuepuka usumbufu fanya hivi http://www.mnma.ac.tz/SELECTED%20STUDENTS%20TO%20JOIN%20MNMA%20FOR%20%20BACHELOR%20DEGREE%20PROGRAMME.pdf
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni lini wataachia majina maana sijasikia lolote, kwa mwenye kujua chochote tafadhali naomba msaada nina wasiwasi sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi tuliochaguliwa vyuo hivi karbun .nawakrbusha tujiunge kwenye group letu LA watsap ..unawez nchek kwa namba 0769642879 ..nikuunganishe Mm nmechaguliwa dodoma-geology
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wanaosoma na waliochagulia chuo kikuu cha arusha naomba naomna mnipe experience ya kuishi hapo chuoni na unaporipoti maana naskia kama ukikaa hostel inabidi ujiaandae kama unaenda kuripoti...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji msaada wenu kujua kati ya computer science na comp enginering whing is the best kwa wale wa2 wa comp geeks,then chuo kipi ni bora kwa hapa bongo kwa hzo facult
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu: Nina jamaa yangu kaniuliza kuhusu coarse ya IT sasa mimi sina uelewa saaaana na hii coarse wakuu, yeye alimaliza kidato cha nne mwaka 2014 na matokeo yake yalikua hivi...
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Naomba kupata ukweli au maelekezo jinsi ya kupata kamusi ya kiswahili kutoka play store. nimejaribu kwa namna mbalimbali lakini sion kamusi ya kiswahili ya Tanzania zaidi nimeona kamus za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu samahani nina mtero kinyama yana kama kuna mtu anafahamu ni lini post za vyuo zitatoka kwa wale wa second round kupitia TCU anisaidie hapa pressure inapanda na kushuka
0 Reactions
4 Replies
1K Views
salamu wadau,kwa wenye tetesi kuhusu walioaply vyuo vya ualimu diploma kupitia nacte VP post zinatoka lini,naombeni msaada nina ndugu yangu aliomba nafasi mpaka sasa hana taarifa yeyote na profile...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TANGAZO KWA FIRST YEAR WOTE WALIOCHAGULIWA UDSM (MLIMANI CAMPUS) 2015/2016. Serikali ya wanafunzi DARUSO inapenda kuwakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa UDSM na kuwatangazia kuwa yeyote...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukifungua inadisplay ifuatavyo **************************** Update: Kwa wale waliofanya 2nd round ndo watanielewa hiyo text imeappear from today kabla ya hapo kilichokuwepo ni list inaoonyesha...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Natafuta mwalimu wa lugha ya kifaransa
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Sory wana Jf..Ninasoma Dplm ya edctn Math & chmstry...nilikuwa nawaza km nta weza soma dgr ya kty kngn kizuri tofauty n edctn cijui ina wezekana....msaada plz
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom