Jamani, hodi Kuna watoto wa ndugu/jamaa zangu wawili niliwafanyia mchakato wa admission TCU, kwa kuwa wako vijijini huko na mimi niko town. Wa kwanza alipata first selection, na wa pili akaja...
digo nmemwangalizia kaambiwa afanye third application
Ukisoma title wameandk application for third round
Ukishuk chin wamandik deadline 30 of Sept
Ukiangalia kushoto wameandik MAKE 2ND ROUND...
TCU tayari wametoa third round lakini nacte hatuoni chochote na baadhi wanasema wamechaguliwa lakini profile zao hazionyeshi status ya kuchaguliwa kwao why this?
habari ndugu zangu? mimi ni dogo mwenye umri wa miaka 17, mwanzoni mwa mwaka huu niliapply chuo kupitia nacte ngazi ya diploma clinical medicine, matokeo yalivyo toka mwezi uliopita nikachaguliwa...
Nina ndugu yangu ame chaguliwa kusoma digri Mzumbe kozi ya local goverment...alikuwa ana niuliza hiyo kozi ina husika na nn...na atakapo maliza hyo digri yake ata kuwa kama nan kazini..Naombeni msaada
Tumeshajifunza mengi sana kwa wale waliojiunga tangu wiki iliyopita kama namna ya kujitambua, kwa nini watu wanashindwa kuanzisha miradi mbalimbali, na wakianza wanaogopa kushindwa na hatimaye...
Yaani toka mwezi wa nne nimeapply NACTE ila mpaka leo nasubiri. Utazani nasubiri UZIMA WA MILELE.
Nimebadilisha machaguo mara zaidi kumi. Bado matokeo hayatolewi tuu.
Jamani kuna yeyote mwenye...
Wana JF,
Ninapenda niwaombe kwa heshima na taadhima kuwa kama mtakuwa mmeona au kusikia prospectus ya #UDOM ya mwaka wa masomo wa 2013/2014 tafadhali nirushieni kwenye hii thread au kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.