Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wakuu.Mimi niliaply vyuo 4. 1-Ardhi 2-MUCCOBS 3-UDSM 4-Mzumbe.Sasa najaribu kutafuta majna ya hivi vyuo vingine siyapati maana udsm sjachaguliwa. Naomba kwa aliye na taarifa zaid...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamii..... ...environmental health science ina tafauti zipi na environmental sciences...?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF...currently kuna wizi mkubwa sana huku mabibo, weekendi hii nilianika nguo zangu na viatu ile inapita nusu saa tu wadau washapita nazo, na leo best yangu kaibiwa begi lilikua na pc...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
first year wote N.I.T tukutane hapa tufanye yetu
0 Reactions
3 Replies
872 Views
Walichaguliwa kujiunga bachelor NIT tukutane hapa ili kufamiana mapema
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mimi ni mhitimu wa kidato cha sita sasa kila nikifungua akaunti yangu nakutana na meseji hii you reached this site because you have been provisional selected into one of the programe but name are...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu! Kama umefaulu vizuri kidato cha sita kupitia masomo ya arts naweza nikaanza kupata degree na naweza kusomea Transport and Logistic? Msaada wana JF!
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Naombeni mnisadie ivi ukishasoma education ya chem na bios ntafanyanye niingie ken koz ya afya haswa doctor of medicine
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Jamani Wana Jf Mimi nimechaguliwa kwenda kusoma st josep degree corse ya computer science and engineering nilikuwa naipenda sana ila hivi karibuni nimepata mtazamo tofauti wa kimaslahi kwamba...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
TANGAZO MAALUM: Chuo kikuu cha kimataifa cha kampala kilichopo Dar es salaam-Gongolamboto kinapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa watu wote walio maliza kidato cha nne, kidato cha sita na...
0 Reactions
16 Replies
47K Views
TANGAZO MAALUM: Chuo cha Kampala International University kilichopo hapa Dar es salaam-Gongolamboto kinapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa watu wote walio maliza kidato cha nne, kidato...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Karibun WATER DEVELOPMENT AND MANAGEMENT INSTITUTE (WDMI)
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa niaba ya umoja wetu Kionambali Psychological Team, nawapongeza sana kwa nafasi mliyo ipata. Ni ukweli usiyopingika kuwa mmeipata nafasi adimu na adhimu sana. Hivyo HONGERA sana. 1.Kuhusu...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
wakuu mwenye kujua coz hiyo inahusiana na nini ... na vp kuhus market na uwanja wa ajira ... msaada tafadhari
0 Reactions
3 Replies
3K Views
naomba wenye ujuzi wa vitu tajwa hapo juu wanisaidie?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninahitaji mwalimu wa sekondari anayetokea manyoni na angependa kuishi rufiji msafiri sekondari , saa moja nusu kwa coaster toka mbagala ani pm tuongee, uwe unatokea manyoni pekee sihitaji eneo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama umechaguliwa UDSM, HASA kwa wale wembamba wale, ni_Pm FASTA ILI TUONGEE MIPANGO ENDELEVU HAPA. IWE mabibo au Campus, Naamini tutaafikiana VEMA TU KWENYE ishu yetu MUHIMU ya makazi.
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Habari zenu wakuu, kuna mshkaji wangu amechaguliwa geoinformatic UDOM nawaombeni msaada ilikua nataka kujua yanayo husu iyo course, yeyote yule ​ambae ameisoma au anaifahamu naomba na mm...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Tanx God, coz hatimaye yametimia
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom