Acha Dhambi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 147
- 46
Nimesahau password ya nacte nimejaribu kutumia ile sahemu ya aliyesahau password bado sijapata jibu Muda ndiyo unasonga sijui Majibu ktk profile yakoje mwenye ufahamu anisadie nini nifanye
Nimesahau password ya nacte nimejaribu kutumia ile sahemu ya aliyesahau password bado sijapata jibu Muda ndiyo unasonga sijui Majibu ktk profile yakoje mwenye ufahamu anisadie nini nifanye
hao jamaa wasumbufu. walinisumbua Mimi mwaka jana kwa hiyo sikujua nini kinaendelea kwenye profile yangu. cha msingi fuatilia vyuo ulivyoomba maana majina yametoka vyuo vingi yakiondsha wale wa nacte na tcu