Utaratibu wa kuhama chuo na course

Utaratibu wa kuhama chuo na course

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
habar wana jf,kwa mtu anaejua taratibu za kuhama kutoka chuo kimoja kwenda chuo kingine.naomba atujuze
 
tcu watatoa muda wa transfer hapo baadae
 
Wakuu mi nimeapply project planning cdti arusha nataka ni transfer hii facult niombe udom lkn hii facult udom inataka D ya math At O level..sasa inakuaje hapa wakuu....nifanye transfer au 3000 yang italiwa tu
 
Ukizingatia hio D mi cna lkn pale cdti....nimeomba na nimepata
 
Ukizingatia hio D mi cna lkn pale cdti....nimeomba na nimepata

Udom usiende kusoma kozi hiyo wewe,kama unafanya transfer ya chuo basi badili na kozi kabisa...maana ni bora usome kozi hiyo kwenye chuo cha CDTI.
 
Back
Top Bottom