Wapi naweza kusoma short course ya ADOBE kwa ujumla?

Wapi naweza kusoma short course ya ADOBE kwa ujumla?

sintah

Senior Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
187
Reaction score
191
msaada tafadhal npo dar kna ndugu yangu anataka kusoma mambo ya adobe photoshop,illustrator,after effect, etc sasa ni wapi hapa nchini anaweza kupata hilo darsa na huwa inachukua muda gani??

Natanguliza shukrani
 
huu mjadala mbna umesahaulika inamaana hakna wataalamu wa adobe??? na wao walisoma wapi??
 
Back
Top Bottom