Naweza kuendelea form 5 kwa max hizi.

Naweza kuendelea form 5 kwa max hizi.

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Naomba msaada kwa jf member,s nina ndugu yangu amemaliza form 4 alipata kiswahili b, history c, geograph d, english d, civics e, math f, ana division 4 ya point 36. Shule ya private hawamchukui
 
Topic: Naweza kuendelea form 5 kwa max hizi.

1. Marks siyo max, au ungeandika alama badala ya hilo neno uliloweka halimaanishi unachotaka kusema
2. Kwenye heading umejitaja wewe, kwenye maelezo unasema una ndugu yako, hii ni kama hupo serious na ukiandikacho
 
angesoma science angepata nursing. aende VETA atapata course nzuri tu kwa maisha yake, advance lazima credit 3 tena kwa kikao kimoja
 
Si kikao kimoja tu..... Hata zaidi ya kikao kimoja ili mradi zitimie 3 credits!!!

Nursing ndio wanapoke vibonde (failures), clarify please
 
Huwezi kwa sababu mdogo wangu hata kuandika marks hujui unaandika max!
 
tafuta waraka wa elimu toka wizaran kwenda kwa wakaguzi elimu kanda, maafisa elimu mkoa na wilaya na kwa wakuu wa shule umetoka mwaka huu, vigezo vya kujiunga kidato cha tano 2014

Back
Top Bottom