Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

wakuu nikilogin kwny page yangu heslb naambiwa my application is ready for submission ni print completed form na wakati nilishaprint zamani na kusubmitt je kuna tatizo naomba wenye ueleewa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani kuna sms wame tuma tcu kupitia account zenu soma vzr n kuielewa kama uta ona ni poa utaweza ifanyia kazi asanten...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Tumeona profile za wenzetu wa digrii na afya mambo yamekua poa, mbona wa diploma mpo kimya utafikiri yakwenu yalishatokaga zaman, au mnaogopa kuonekana kwamba mmeomba ualimu wa awali wengine, this...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
kwa mwenye uelewa kuhusu course ya petrolleum chemistry inayotolewa chuo kikuu cha dar es salaam naomb anielezee
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Habari wanajamii Forum:Nia yangu nikuwafahamisha kuwa kwenye Kampuni yetu ya InfoBridge inayojihusisha na mambo yote ya husuyo ardhi/uso wa dunia na Mazingira yake(SPATIAL TECHNOLOGY IN...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimemaliza form four mchepuko wa sayansi nikasoma diploma ya accounts na ninataka niombe bachelor ya computer science... Je naweza kupata hiyo kozi...?
0 Reactions
0 Replies
720 Views
nacte walinipangia chuo cha Tanzania training center for international courses ya clinical medicine. lakini kumbe iko chuo hawatoi clinical medicine ila wanatoa AMO assistant medical officer. leo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Following closure of the loan application cycle for 2015/2016 Academic Year, the Higher Education Students' Loans Board (HESLB) has embarked on verification and analysis of the applications. In...
3 Reactions
127 Replies
66K Views
HI kama unatambua lolote kuhusu admission letter ktk chuo cha Mwalimu Nyerere Academy zinapatikaje Tujulishane Make LAPF wameniomba hiyo kwa ajili ya EDUCATION LOAN
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Jamani nimehangaika sana kuangalia jina langu kama limo kwenye orodha ya majina yaliopungukiwa kua na viambatanisho flani mpaka mda wa kufanya marekebisho umepita..! Naomba kwa anaeweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
www.sekomu.ac.tz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau... Udom wametoaa moongozoo kuhusu bimaa za afyaa. Je kwa watu ambao hatujapata bima inakuwaje tulipe hela tena mwaka huuu?! Msaada wadau maana ni hela nyingii...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Wadau, kwa wale waliotuma maombi ya course ya science mathematics diploma education UDOM selection inafanyika lini? Kwa wale wanaojua. Naombeni msaada
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Salam wanajf Kuna ndugu yangu kachaguliwa SUA Agrobussiness kwa mujibu wa profile yake ya TCU inavyoonyesha ila jina lake halipo kwenye majina ya first batch selection yaliyopo kwenye website...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
N ngumu sana Tanzania kutimiza ndoto zako labda uwe wa kishua kwenu... na sema hili kwa uchungu sana...haiweze kani n some CBG ni pangwe IFM kozi ya biashara..daah hii serikali bnaa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa hili natakiwa kufanyaje sjaelewa xo nmelikuta kwenye profile!!!? kwa anaefahamu au kukutana nalo tunaomba ufafanuzi wake!!!.
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Kuna dogo nilimfanyia application NACTE saiv nikiingia kuanzia jioni hii sioni jina la chuo hata kimoja pale kwenye profile. angalieni na nyie kwenu. labda ndo mambo yamekaribia
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakubwa shikamooni? Nilikuwa naulizia makao makuu ya NACTE nataka niende kwa sababu wamenipangia chuo ambacho hawatoi diploma in clinical medicine wakati mimi niliomba dip in clinical medicine...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
wadau,vipi kuhusu soko la hii kozi? msuli wake je?
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji, anayo furaha kutangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali za shahada mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Mwaka mpya wa masomo...
1 Reactions
97 Replies
13K Views
Back
Top Bottom