hivi mwaka huu hamna wanafunz watakaoenda vyuo vya ualim wa primary na awali km ilivyokuwa miaka ya nyuma maana siku zinasogea sijaskia tetesi zozote kuhusu walochaguliwa ualim wa primary na awalo
MABADILIKO YA TAREHE YA MITIHANI YA MARUDIO NA MITIHANI MAALUM (SUPPLEMENTARY/SPECIAL EXAMINATIONS) ILIYOKUWA IFANYIKE TAREHE 24 -28/08/2015
Chuo Kikuu cha Dodoma kinawatangazia wanafunzi wote...
Habari zenu wana JF
nailizia kwa wenyeji wa mwanza chuo gani mwanza naweza soma bachellor ya utawala evening sessionn maana nakijua chuo kimoja tu cha sauti vingn sivijui ambavyo viko mwanza msaada
Wakuu,
Tuwahamasishe Watanzania kwa ujumla wetu ili tuweze kuzikumbuka shule zetu tulizosoma za Msingi na Sekondari ili tuweze kuzisaidia kwa hali na mali ili ziwe bora na kutoa wanafunzi...
Mheshimiwa Rais,
Tunaomba pindi ujenzi wa maabara katika shule zetu za sekondari utakapokamilika, maabara hizo ziwekewe sreen kubwa za televisheni ili kuwezesha vijana wetu kupata mafunzo...
Habari zenu wakuu.
nimefungua profile yangu ya tcu kwa sisi tunaoomba kujiunga na vyuo vikuu,
nimekuta baadhi ya vyuo nilivyo chagua vimeandikwa -1 na vingine 0 sehemu ya remaining capacty...
kuna rafki yang amechaguliwa udsm (bsc in agricultural and natural resource economics and business) anataka akifka chuo ahamie ardhi university land management and valuation..kwa anayejua process...
Wakuu nisaidien majib kuhusu hili.
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita mwaka huu.
badala ya kuomba chuo kupitia tcu yy aliomba kupitia nacte, je ataweza kupata chuo?
Applications are open | Chevening
Brief description: The Chevening Secretariat is accepting applications for 2016/2017 Chevening Scholarships from 3 August until 3 November 2015 for graduates...
Short history ya hii degree program n kwamba imeanzishwa hapa Tanzania katika chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine mwaka wa masomo 2 010/2011. TCU iliwaselect wanafunzi wapatao 25 kujiunga pale SUA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.