Nacte, wale wa diploma in education

Nacte, wale wa diploma in education

Kigilagilagatirumo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
503
Reaction score
734
Tumeona profile za wenzetu wa digrii na afya mambo yamekua poa, mbona wa diploma mpo kimya utafikiri yakwenu yalishatokaga zaman, au mnaogopa kuonekana kwamba mmeomba ualimu wa awali wengine, this is jamiiforum guys dare to talk anything,
mi naanza kuuliza wanajukwaaa hili, DIPLOMA ZA UALIMU ZIMETOKA?
 
Back
Top Bottom