Muhimu kujua hili kwa faida yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimu kujua hili kwa faida yetu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mfukoz, May 5, 2012.

 1. m

  mfukoz Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wanajamii Forum:Nia yangu nikuwafahamisha kuwa kwenye Kampuni yetu ya InfoBridge inayojihusisha na mambo yote ya husuyo ardhi/uso wa dunia na Mazingira yake(SPATIAL TECHNOLOGY IN GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEM),tunazo data zote zinazounda sura ya nchi yetu kwa maana ya MIPAKA SAHIHI YA NCHI kuanzia ngazi ya VIJIJI,KATA WILAYA HADI MKOA kwa MIKOA yote ya Tanziania pamoja na MIKOA yote MIPYA,vile vile tunazo data zinazo husisha barabara zote za Tanzania Kuanzia zile barabara za Vumbi mpaka Barabara mkuu,Tunazo data zinazo cover FOREST zote muhimu za Tanzania,Tunazo data zinazoonyesha Mito Maziwa Bahari na Settlements Tanzania nzima,Tunazo data zinazo onyesha Contour kwa mikoa karibu yote ya Tanzania.Data zote hizo ziko kwenye softcopy. Vilevile Tunazo Standard Toposheets ambazo zimekuwa scanned na Georeferenced zinapatikana katika softcopy na zinacover Tanzania nzima.Vilevile Tunatengeneza ramani ambazo ni Coloured kwa size kuanzia A0, A1, A2, A3, A4,katika kiwango cha ubora wa hali ya juu na zilizo na taarifa sahihi.Vilevile ni official distributor wa Sattellite Image kama QUICBIRD IKONOS SPOT NA FORMASAT Satellite zote ni katika High Resolution.Vilevile ni Official Agent wa ESRI kutoka USA ambao ni wazalishaji wa mkuu wa GIS SOFTWARE aina ya ARCGIS kwa ajili ya kumanage, process na Anayalze Geographical data na Pia ni Official Agent wa Pitnet Bowes kutoka UK ambao ni wazalishaji wa GIS SOFTWARE aina ya MAP INFOPROFFESSIONAL.Vile vile tunatoa course Fupi(short course) kwa Proffessional mbalimbali na hii inawezakuwa kwa kampuni, Taasisi binafsi ama mtu binafsi na hizi course zinafundisha ile basic skills jinsi ya kutumia modern spatial technologies katika Proffessional yako,Couse itacover maeneo(Geographical Information system(GIS),Geographical Position System(GPS), Mobile Mapping ,Sattellite Image Applications and Use Internet for Development).Hivyo basi wanafunzi wa Vyuo, Taasisi mbalimbali na Makampuni mbalimbali mnakaribishwa.Tupo JENGO LA UBUNNGO PLAZA,Kwa mawasiliano call:0766628699 ama 0713311675 ama mfukomoses@yahoo.com.KARIBUNI.
   
 2. m

  manpowa Member

  #2
  Oct 9, 2015
  Joined: Sep 21, 2015
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasoma bsc in geoinformatics iwill be in touch ,iwish to work with you after completing my studies2017,,,,
   
 3. m

  mapenz matam Senior Member

  #3
  Oct 9, 2015
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  mko vizuri saana but kwa level mlizofikia achen kutumia hyo domain ktk email zenu. try to be officila otherwise tutawaona haman tofaut na matapel.
  but jitihada zenu ni nzuuri saana vijana waangu. cha muhim kikubwa wadogo zangu jaribun kutafta tenda za hzo kazi serikarin zipo nyingi saana saana.
   
Loading...