wakuu embu tusaidiane kidogo hapa vyuo vya private vinavyotoa kozi za afya kama kcmc,cuhas,kiu e.t.c ada yao ni kubwa sana kiac kwamba km hauna mkopo huwezi kusoma..swali langu ni kwa wale...
Naomba wenyeji wa Mtwara wachangie:
ni kata zipi za Mtwara ambazo ni za Mtwara na zipi za Mikindani?
Kati ya kata zifuatazo:
Majengo
Mitengo
Mtonya
Naliendele
Rahaleo
Railway
Shangani
Ufukoni...
if you want to get a reward from internet click this link, sign in then follow steps :flypig:
Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
habari wanajamvi,ningependa kujua naweza kusomea kitu gani kingine tofauti na education kwani nachukua physics na chemistry,na mpaka nisome hcho GPA yangu inatakiwa iwe inaanzia ngapi niliyoipata...
Walimu wa masomo haya hapa wanahitajika
Agriculture,Book Keeping,Commerce na IT. Walimu wenye shahada au hastashahada watapewa kipaumbele. Sehemu ya kazi ni mkoani Kagera. Mazingira ya kazi ni...
Habari zenu wakubwa....
Kwa wale walochaguliwa Ardhi University na wanaosoma chuoni hapo tujuane af wenyej mtupe feedback na hal halis iliyopo chuoni hapo....
Karibun atheeeee:p
Ndg. walimu jamaa yetu yupo clouds ila mmi simwamini kabisa na hawa wakuu wake wa wilaya wawili walioteuliwa juzi kati nadhani nahitaji kujitoa kwa hiki chama. Nishaurini jaman!!
Hello everyone I have seen in TCU guidebook 2015/2016 abt these scholarship I wanted to apply MD but before have to ask if after finishing you can get work in Tanzania and overall if they have...
daa nmechek SUA first bartch ya Agriculture Economics and Agribusiness wa watu 200 na zaid wamesha chaguliwa,
je hapo kweli knakuchaguliwa??? na je kuna mtu aliomba kupitia NACTE amepata SUA??
I am a teacher, nafundisha masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY NA MATHEMATICS (PCM) kwa O Level na A- Level.
Contacts:
Phone numbers: 0768570951 and 0685862831
E-mail: andrywisedude@gmail.com
AM A TEACHER. Nafundisha masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY NA MATHEMATICS (PCM) kwa O-Level na A-Level!
Contacts:0768570951 / 0685862831...
e-mail: andrywisedude@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.