hangahanga
Senior Member
- Feb 9, 2015
- 128
- 6
Kwa hili natakiwa kufanyaje sjaelewa xo nmelikuta kwenye profile!!!? kwa anaefahamu au kukutana nalo tunaomba ufafanuzi wake!!!.
nmejaribu kuchagua system imenikatalia.Unaweza badilisha muda wowote machaguo mpaka tarehe 16 mwezi wa kumi
nmejaribu kuchagua system imenikatalia.
Ukijaribu wanakwambiaje.
wananiambia hvi
Unaweza badilisha muda wowote machaguo mpaka tarehe 16 mwezi wa kumi
Kweri mkuu hata mimi imeandika hivyo na ukitaka kubadili kuna onyo
mh! naogopa isije ikanigomea!! kuna yeyote aliyejarb??
Mm nimebonyeza yes na nikapewa option yakuchagua vyuo tena.
Unajaza course zile zile or hata kubadili pia unaeza badili maana mm nimeweza badili chuo kimojavp ulifanikiwa kujaza course zilezile au walikupa zingine?? na je walitaka ufanye hivyo plz tell me!!
Nadhani ni vema kuwa mvumilivu mpaka vyuo vitoe majina. Nadhani kabla ya tarehe 10 oct vyuo vingi vitakuwa vimetoami hakuna changes zozote aisee
halafu mbona wengine wa diploma waliiomba kupitia nacte wameshapata udom?!!!,yaani sielewi lolote hapa nimeshavurugwa