Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Headmistress anahitajika, Shule ipo Kibaha Misugusugu, Mkoa wa Pwani. Sifa, awe na uzoefu wa kazi hiyo walao miaka mitatu katika shule ya wasichana na yenye umaarufu. Mwisho wa kupokea maombi ni...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
TCU hereby informs Form six applicants for 2015/2016 admission into various higher education institutions that the FIRST and SECOND rounds of selection has been completed and released to the...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
wandugu nahitaji msaada wa tamplate itakayonisaidia kutolea matokeo ya k4,,natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niulize chochote kuhusu st joseph college of engineering dar es salaam
0 Reactions
19 Replies
2K Views
sekomu oyeeee nitafute kuhusu hiki chuo kila kitu nakuelekeze especially wale wa first year wa mwaka huu kwa no. +255 786 951 224
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jukwaa la elimu naomba msaada wa shule nzuri kwa wasichana ya o_level kuna mdogo wangu nataka nimpeleke,naomba na mawasiliano ya hiyo shule tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam wanajf Ningependwa kujuzwa wakati wa transfer slot mpya zinawekwa au ni zile zitakazosalia 3rd round. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hostel ipo Magomeni Mwembechai barabarani kabisa shiling laki 6 kwa semista 2, ruksa kujipikia, umeme na maji ni ya wasichana tu. Maulizo:713506472/755014110&7158 506472
0 Reactions
8 Replies
4K Views
wakuu tukutane hapa!!!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie kwa wala wanaosoma course hii ajira zake inakuaje hapa tz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimeapply kupitia NACTE Ila kila nikiperuzi sioni chuo nilichopangwa yaani mpaka nadata hapa naomba mwenye kunisaidia aniangalizie s1533.0020.2006, dah ntashukuru sana asee.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanachuo wenyeji na waliochaguliwa mwaka huu naomba tukutane hapa ili tupeane uzoefu,lifestyle n.k ktk chuo husika,naomba mnitafute kupitia 0784024004 ili niwaadd kwenye group la chuo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanachuo wenyeji na waliochaguliwa mwaka huu naomba tukutane hapa ili tupeane uzoefu,lifestyle n.k ktk chuo husika,naomba mnitafute kupitia 0784024004 ili niwaadd kwenyechuo.up la chuo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna rafiki yang kachaguliwa "bachelor of education in commerce&accountancy" pale mzumbe Lkn hajaipenda alikuwa anataka "bachelor of accounting in business sector",kuna uwezekano wa kubadil na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimechaguliwa B.A in Applied Statistics hapo MZUMBE. Kozi hii ilikuwa ya mwisho kwenye uchaguzi wangu nifanyeje kuibadilisha? Sina jinsi wazazi wanasema nichukue education!
0 Reactions
26 Replies
4K Views
poleni na majukumu jamani,naombeni kujuzwa ipi professional yenye wepesi wa ajira kati ya hizo tajwa hapo juu? katika ngazi ya digrii.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Katika pitapita zangu na katika upekuzi wangu nimekutana na taarifa kutoka MUCE huko Iringa. Hiki ni chuo kikuu cha elimu ambacho kinazalisha walimu kwa miaka kadhaa sasa. Ila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Tafadhali naomba kujuzwa zilipo review classes kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma OPEN UNIVERSITY na zaidi sana upande wa LAW.Nipo DSM Mbezi beach!
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Wakuu kuna mtu amechaguliwa bsch of mechanical engineering st joseph ila angependa kuhamia bsch of architecture Must..vp anaweza kupata au hiyo course hapo Must ina competition sana?..msaada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom