MSAADA wako tafadhali

MSAADA wako tafadhali

puppa

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
379
Reaction score
176
nacte walinipangia chuo cha Tanzania training center for international courses ya clinical medicine. lakini kumbe iko chuo hawatoi clinical medicine ila wanatoa AMO assistant medical officer. leo nimeenda makao makuu ya nacte wakaniambia ni kweli baraza na wizara ya afya ndio walifanya makosa kukiweka iko chuo.. lakini wakaniambia nifanye tena application kwa third round na vyuo vinavyotoa clinical medicine vimebaki vitatu tu na kuna applicants wengi sana wanaoomba nafasi na kibaya zaidi jumla ya nafasi ya hivyo vyuo ni 12 na wombaji ni 389.
je hii ni haki kweli nilivyofanyiwa? niliomba wanifanyie transfer wamekataa. naombeni ushauri please
 
Dah pole sana ndugu imeniuma sana kwa walivyokufanyia nldhan ni tcu tu kumbe na nacte nao wako hvo!...kama na nyie watatoa transfer fuatilia uombe transfer ndugu..usikate tamaa Mungu yu pamoja nawe
 
yaani kaka acha tu nimeumia sana sio siri sijui kwanini wanakuwa na roho ngumu hivi
 
Back
Top Bottom