jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,779
- 1,632
Kuna dogo nilimfanyia application NACTE saiv nikiingia kuanzia jioni hii sioni jina la chuo hata kimoja pale kwenye profile. angalieni na nyie kwenu. labda ndo mambo yamekaribia
Hata mim ni hivyo
kuanzia muda gani mkuu
Web not found...kuna nini sijui jamani
badilisha browser mkuu
kuna mmoja hapa tunamuangalizia profile ni yake ila jina na details siyo zake
namuona rashid Mohammed sijui,full mkorogano