Msaada: Wapi yalipo makao makuu ya NACTE

puppa

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
379
Reaction score
176
Wakubwa shikamooni?

Nilikuwa naulizia makao makuu ya NACTE nataka niende kwa sababu wamenipangia chuo ambacho hawatoi diploma in clinical medicine wakati mimi niliomba dip in clinical medicine lakini wao wamenipangia hivyo hivyo.

Nimewasiliana na uongozi wa iko chuo wameniambia wao hawatoi diploma in clinical medicine ila wanatoa AMO assistant medical officer.

Wakaniambia niwafate nacte warekebishe.
 
marahaba bwana mdogo ujambo? wazazi wako hawajambo? kwani kijana una umri gani? kwani umejiandikisha kupiga kura? uko UKAWA au CCM? ok ukitaka kufika NACTE panda basi kituo cha ITV mwenge then ufuata barabara ya kuelekea itv maarufu kama viwandani nenda mpaka mwisho wake halafu kunja mkono wa kulia utaona hizo ofisi sawa bwana mdogo!
 
Muelekeze vizuri. Kokote ulipo panda basi hadi ufike kituo cha ITV barabara ya Ali Hassan Mwinyi[maeneo ya mwenge]. Shuka hapo fuata njia inayoenda viwandani mpaka mwisho wake utakuta T junction nenda kulia,geti la kwanza chuo cha kodi, geti la pili NACTE upande wa kushoto.
 
asante kaka nimekupata vizuri
 
au ukifika itv ulizia chuo cha kodi ukifika hapo jengo linalofuata mkono wa kulia ndo nacte
 
Back
Top Bottom