Nimereset machaguo kisha nikachagua kozi nne. Sasa kwenye profile chini ya continue with application kuna neno "Add choice". Hili neno nilitegemea litaondoka baada ya dirisha kufungwa ila bado...
Nilikuwaselected nacte kwenda chuo cha NIT. NIT walipotoa majina na jina langu nililiona lipo,sasa leo nimeingia nakuta wametoa majina mengine na jina langu halipo.nini kimetokea jamani? au ndo...
Sasa usipate tabu au kupoteza muda wako mwingi kwenye maandalizi ya Photo entry kwa kidato cha pili,cha nne au cha sita...tumia PHOTO ENTRY 1.0 kwa dakika tano tu unamaliza maandalizi hayo...
Ndg wanajamvi natumaini mko wazima! Naomba Msaada wa kuyatambua mashirika yanayofadhili tafiti katika sekita ya Elimu, hasa katika eneo la utawala bora katika elimu.
Wanajamvi, habari zenu. Mimi ni mzazi wa mtoto mwenye tatizo kitaalamu wanaliita cerebral palsy. mwanangu amemaliza darasa la saba katika shule ya kiingereza (English Medium). Katika mtihani...
Mdogo wangu amepata civ - 'E' hist - 'E' geo - 'E' kisw - 'C' engl - 'D' chem - 'D' bio - 'D' b/math - 'F'. Nataka akasome certificate yeyote ya business kati ya vyuo hivi 2; ita ya mwenge na cbe...
Eti nikweli kwamba kwa wale ambao hatutegemei mkopo, by tarehe 30 Oct, unatakiwa uwe umelipa ada kama sivyo no admission, nimesoma kwenye joining instruction yao, kama sijaelewa vibaya.
Msaada...
We ingia website za vyuo ulivyo apply cheki majina ya batch zilizokuwa yet released kama upo then u r qualified alrdy... dats ur approval subir tu admission .......kusubiri CAS mtakeshaa ku...
Habari wana JF
Nahitaji kujuzwa hili suala kwa wanaojua. Nina mdogo wangu amesomea Journalism(certificate). Anataka kubadili course asomee Biashara. Je itabidi aanze tena na certificate au...
Wadau natafuta mtu au watu watakaoweza kuifadhili skuli yangu au kusaidia uendeshaji wa skuli kwa chochote vinavyohusiana na skuli hata mawazo tunapokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.