Ufafanuzi jamani,naombeni msaada

Ufafanuzi jamani,naombeni msaada

Mmanga2

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
110
Reaction score
28
Nilikuwaselected nacte kwenda chuo cha NIT. NIT walipotoa majina na jina langu nililiona lipo,sasa leo nimeingia nakuta wametoa majina mengine na jina langu halipo.nini kimetokea jamani? au ndo nimekatwa?
 
wanadharau sana jiue ili iwe fundisho kwao mana tumeshawachoka hawa nacte
 
Inasikitisha sana siku hizi Elimu nchi hii imekuwa ni biashara 100 pasee..batch batch batch..mara transfer fee sijui nini..zamani hata ku attend chuo kama umepata mkopo utalipa according to your means test..siku hizi mpaka ulipe hela kwanza hata kama umepata mkopo,kuna watu hawana uwezo je wanapataje pesa hizo?inasikitisha sana.

ifike mahali serikali iwamulike hawa NACTE na TCU wanaharibu mchakato ya elimu,inakera sana
 
Mkuu ungeenda hapo chuoni kwenu ofisi husika uulizie inakuwaje ,wasipo kupa majibu ya kuridhisha unawafata nacte wenyewe .Elimu ya kibongo ni kukomaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom