Wapendwa karibu sana Sokoine University of Agriculture. Mimi naingia mwaka wa pili kwa yeyote mwa kwanza naomba wa kunibeba yaani tutumie kitanda kimoja awe wa kiume kwa atakae kuwa tayari...
Habari wakuu, nimechaguliwa UDSM, na nimeona kozi yangu ipo kwenye collage ya CONAS, sasa naomba kwa anayejua atufahamishe changamoto za udsm, vp garama kama hostel zikoje, huduma ya maji na...
leo nilienda NACTE kuhakiki taarifa zangu baada ya kuona profile yangu bado ipo vile vile(mbele ya diploma qualification naona neno UPDATE na REMOVE, halafu chini yake naona ADD MORE...
Wana jamvi kuna huyu DEO sekondari kigoma manispaa (mr. Sangwa) ana ukilitimba, jeuri, kiburi na usumbufu usio mfano wakati wa kupitisha barua za watumishi wake hasa akina dada wanapotaka kuhama...
Wadau kama kuna mwenye uzoefu, kuna mbishano , eti gari hiyo ukiwasha tu, ili system ikae poa, mafuta Lita 10 yanaenda, kabla hujaanza kutembea? Mwenye knowledge plz
takribani mwezi umeisha hakuna lolote linaloendelea udom kwa wale tuliomba scholorships ya masters na phd on improving basic literacy! kwa yoyote aliye na taarifa kuhusu hatima ya 50000/= zetu...
Napenda kuchukua fursa hii kuwaomba Watanzania wenzangu tuunganishe nguvu zetu pamoja na kuzikumbuka shule zetu za msingi tulizosoma ili kuziimarisha kitaaluma na kuwawezesha vijana wetu kupata...
Vyuo vingi sana vimekwisha toa post najua tupo wengi sana tunao subiri post zao. Tafadhali naomba waziachie mapema ili sisi watoto wa masikini tujue tunajipanga vipi? Mnatuacha na mawazo sana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.