Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wale walioomba nacte fungueni profile zenu sasa hivi,washaanza kuthibitisha selection kwenye profile,mimi ni mmoja wao, wameniadikia hivi SELECTED...
2 Reactions
84 Replies
13K Views
madogo wa first year ulizeni chochote ili ujiandae kisaikolojia unakuja kukutana na mziki wa aina gani
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau naomben kujua nimechaguliwa bachelor of medical Doctor katk chuo hiki kuna jamaa ameniambia kuwa st.joseph wanazingua hivi n kweli au?
0 Reactions
68 Replies
13K Views
Anaye soma course hizo acommet hapa chini naaweke namba yake ya simu tuwasiliame
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuona mada nyingi zikiulizia joining instructions, taarifa za vyuo na kozi na kupotelea hewani, nikaona si mbaya kuwa na moja inayokusanya taarifa na zilizo muhimu kuzijua, nami...
0 Reactions
89 Replies
17K Views
wapendwa:nina shida kidogo, naomba kwa mtu ambaye ni mwenyeji au anaifaham vzur halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo tuwasiliane kupitia 0768653940
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Acheni kulalamika tembeeleni kwenye profile zenu mtaona mabadiliko!! wengine muwe na subira wakati NACTE wako kwenye mchakato soon wataachia.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NACTE mmetupa majibu bila ya uthibitisho chuoni (confirmation) sasa tuwaelewe vipi mana hatujui hatima yetu hadi Lini Mana Nimeenda chuo kuchukua Admission latter nimeambiwa hatukutambui jina lako...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
mimi walinitumia email ina heading hii Dear Seleman Nasoro ALREADY ATTENDED sasa had now hawajanitumia tena me nashindwa kuelewa nini maana ake hadi sasa au ndo tumekosa chuo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi Hii Ktu Inaitwa CPA Ndo Nn...Ni Course Au...Na Kama Ni Course Inahusika Na Nn??
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Wakuu kama kunawadau humu ndani wanaofahamu chochote kuhusu IMTU tujuzane, maisha kiujumla na gharama za hostel.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wakuu, naomba nijulishwe ni lini selection za diploma na advance diploma chuo cha afya muhimbili zitatoka, please maana subra inataka kunishinda jamani , nisaidieni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu napenda sana kusoma vtabu mblmbl hasa vya fasihi na literary works lkn kama mnavyjua wakuu access ya vitab ni tatzo kwa weng pia ni ghali kuvpata it needs money, nilikua nataman...
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Wakuu nimechaguliwa udom kusoma hiyo kozi tajwa hapo juu,je?,baada ya hapo nitaruhusiwa kusoma postgraduate ya civil engineering?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sio mbaya tukijuana tuliochaguliwa UDOM, mimi binafsi nitakua CoES petroleum engineering
0 Reactions
122 Replies
13K Views
Salam, Wakuu..Mimi ni Civil Engineer, Mwenye kujua utaratibu je nitaanzia level ipi ili siku nije kuwa na CPA?naombeni ufafanuzi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anyone who can add some points on the Qn above. .
0 Reactions
3 Replies
978 Views
wale wa mkwawa tukutane hapa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani wana jf tafadhali nawaombeni mnipe taarifa kamali kuhusu join instruction za udom kama zmetoka au la maana wa2 wengne wanasema zmetoka sasa kama ni kweli tunazpataje! please wanajamiiforum
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom