Bsc & Msc. Bioethics

Bsc & Msc. Bioethics

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
2,215
Reaction score
1,995
Naomba msaada wa kujua mtu anayesoma hiyo course anaweza fanya kazi wapi au anakuwa nani.
 
Mimi ndo mara yangu ya kwanza kuisikia.

huenda ni mpya au huwa ipo?iko kisayansi sayansi hivi na nilishakimbiaga since niliposoma topic moja tu ya mathematics the whole form 5!labda BEDCOM tutaelewana.
 
ukisoma bio ethics unaweza kufanya kazi kwenye taasisi za research za afya hospittal ila hasa kufundisha kama ni masters nafundisha bio ethics ni cadre nzuri na watu bado sio wengi.
 
Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi huo mzuri.

God be with you
 
ukisoma bio ethics unaweza kufanya kazi kwenye taasisi za research za afya hospittal ila hasa kufundisha kama ni masters nafundisha bio ethics ni cadre nzuri na watu bado sio wengi.

Hii course inatolewa chuo gani hapa bongo?
 
Back
Top Bottom