Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habar wadau ningependa kufaham hivi inawezekana kuwafata TCU na kubadilishiwa course chuo hicho hicho kabla ya usajili tafadhali mwenye uelewaa na hilii anifahamishe
0 Reactions
2 Replies
874 Views
A list of best Engineering colleges in Tanzania has been released.The colleges have however worked extemely harder to make the list of top 10 best Engineering colleges in Tanzania Note that in...
0 Reactions
15 Replies
40K Views
Nauliza kama kuna mtu anayeelewa vizuri mazingira ya hapo au aliye hapo anijuze. Moja, naomba kujua kuhusu location hicho chuo kipo sehemu gani hapo Dar. Mbili, naomba kujua kuhusu gharama za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Daaaah hii kali mbna vyuo vingne watu walisha kuwa selected vip tena ambao profile zao zipo vile vile capacity inaendelea pungua tu hivi kuna matumainI kweli mie najua watu hawakosi vyuo lakin...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari !! Jf members Ninazo premium blogger templates ambazo utaweza kuondoa footer credits.. Templates hizi nazinunua kwa kazi zangu na wanaruhusu kuhost unlimited DOMAINS. kama unahitaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
tembelea Maswayetu.blogspot
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za jumapili wana JF Hiki chuo cha st.joseph campus ya arusha mwaka jana walipokea wanafunzi wa mwaka wa kwanza ngazi ya shahada (education) kama walivyopangiwa na TCU. Sasa cha kushangaza...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
habari ndugu,naombeni ushauri ndugu Nina ndugu yangu kachaguliwa chuo cha ualimu wa msingi ila tatzo ni kwamba ajaipenda hicho chuo je kunauwezekano wa kuhamia chuo kingine na VP...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mnijuze hichi chuo kikoje na academic status yake ikoje
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wakuu, naombeni mnijuze gharama zinazohitajika ili kukamilisha usajiri hapo ajuco.maana nimechaguliwa hapo afu join instruction aijatoka hadi muda huu na familia yangu kifedha haipo vzur...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Natokea moshi nataka nifike chuo cha,tengeru naulizia naul na jinsi ya kufika
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Txt hapa tukuweke kwenye group la mwaka wa kwanza 0716297523
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada bachelor of science in physics;ikoje,faida zake na ajira zake
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Tunatangaza nafasi za masomo ya sekondari, kidato cha kwanza mpaka cha nne kwa kufanya mtihani na kupata alama nzuri za kudhihirisha kwamba utaelewa ukifundishwa vyema. Naambatanisha kipeperushi:
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wapendwa naomba msaada kwa anayefahamu vyema course ya public accounty and finance ina tofauti gani na finance and accounty katika ajira na utendaji kazi wake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mimi ni mwalimu idara ya sekondari hapa mingumbi sekondari wilaya ya kilwa mkoa wa lindi. kama uko tayari tubadilishane vituo vya kazi ili uje kwangu nami nije kwako. mawasiliano ni 0714-408238/...
1 Reactions
0 Replies
897 Views
WALIO CHAGULIWA UDSM 2015-2016 Ndugu wanajamii kwanza naomba nitoe pongezi kwa wale wote waliofanikiwa kuchaguliwa kujiunga katika Chuo kikuu cha dar es salaam (undergraduates). naamin katka...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
kuhusu kozi,,hostel,,mazingira ya chuo na mengine yaliyo ndani ya uwezo wangu utajibiwa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari zenu wanajamii forums..naomba kufahamishawa kwa mwenye kuifahamu na nakuielewa kozi ya applied zoology..ajira .changamoto zake nk
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Iv inawezekana kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafas bila kuihusisha TCU. Na kama inawezekana nn madhara yake.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom