johnson steven
Member
- Sep 22, 2015
- 35
- 6
naomben ufafanuz apo wadau n koz zip inayo lipa katika uwanja wa ajira kwa sua
Kila kozi inauwanja wa ajira kikubwa faulu vizuri masomo yako pata GPA nzuri uone km utakosa ajira!
hakuna hata moja. kama utaenda morogoro kukimbizana na afande sele. ila zote zina uwanja mpana kama utaweka juhudi
BVM inaweza kuwa mojawapo. Ila uwe tayari kwa nyundo tano za msuli usio wa kitoto.