B.Sc Botanical Sciences vs Science General

Mad Scientist

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
215
Reaction score
77
Kwa anaezijua vizuri hizi kozi za pale udsm ziko vipi hali yake pamoja na ajira kwa ujumla.
 
Kwa Botanical scince, jiandae kuwa mtunza bustani katikati ya jiji, manispaa na wilaya...zinaitwaga Botanical Gardens
 
Botanical nasikia ni nzuri hata scholarship za masters ni nyingi inaingia Hadi kwenye masuala ya kilimo na utafiti ajira zake ni nyingi
 
vp kuhusu food science &technology katka swala zima la ajira... hapa nchini kwetu
 
na vipi kuhusu applied zoology..namanisha upatikanaji wake wa kazi kwa tanzania hii...nawasilisha kwenu and i need seriuz help
 
Daa kwenye ajira kaka hizo kozi ni tatizo sana unaweza ukajikuta unazunguka mtaani mpk utajutia kwann usiende education,,,nakushaur kabadili coz nenda education au fanya ata ukasome clinical officer mm ni mhanga wa botany tuko na best angu wa bsc general tunakula laki kwa mwez tempo yaan daah ni shida
 
KIKOOZI kaja na ID mpya
 
Scholarship za botany zapatikana wapi na ajira zake vipi mimi nina Bsc Botany/Zoology with option paper natural resource ecology
Sina job
 
Kaka,,,izo kozi.izo mpka sasa zimejaza wazururaji wengi sana mtaani uku so uifany tuongezeke zaid
 
Back
Top Bottom