lessandrew
New Member
- Jan 5, 2016
- 1
- 0
Nahitaji maswali mbalimbali ya advance ya geog, pure maths, economics ya paper 1, Mimi nasoma EGM.
Kiasi gani? Na je hii thl ni potential kihivyo compared to materal books? Maana mi Naonaga matangazo tuDownload app ya thl utapata maswali lukuki plus notes ila mpaka ulipie ndo utapata access