Mimi n mhitimu wa chuo kikuu Dar es Salaam(UDSM), pia mfanyakazi wa Serikali, tangu nihitimu 2013 nilikuwa bado sijapata Cheti changu, kulingana na taratibu za ajira cheti kinahitajika Halmashauri, nauliza kama uwa kuna utaratibu wa mhitimu kutumiwa cheti aliko. Nna matatizo ya kiafya nafkiria kusafiri kwa basi kutok Mwanza mpaka Dar naona kizungumkuti....
Mwenye taarifa naomba kujua....
Karibuni kwa mawazo
Mwenye taarifa naomba kujua....
Karibuni kwa mawazo