Habari ni wadau wa jukwaa hili.
Mimi ni mwajiliwa katika shule ya sekondari serikalini, nafundisha somo la English. (Nina degree ya Education)
Nimekua na mawazo ya kubadilisha fani kutoka ualimu wa English hadi kuwa daktari kwa sababu ni kitu nilichokua nakipenda toka mwanzo.
Nilipata wazo la kufanya mtihani wa form four kama PC mwaka huu nikibase kwenye masomo ya science then 2018 nifanye form six national kwa combination ya PCB hatimae nikasome chuo cha muhimbili.
Swali; Je wizara inaruhusu mtu kurudia mtihani wa necta sio kama re-siter bali kurudia kwa mapenzi yake binafsi? Cheti cha kwanza nilifaulu vizuri nina credit sita na sina F popote ila masomo yote yalikua ya arts kasoro biology.