Kuna tofauti ipi kati ya PCB na CBG

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Salaam wadau wa elimu
Swali langu hivi kuna tofauti hipi kati ya cbg na pcb kwa upande wa usomaji wake,fani utakazosomea chuo na ipi bora zaidi ya mwenzie

Naombeni mnishauri wadau wa elimu mliopo humu jukwaani
 
Wewe una ndoto za kuwa nani ili nikushauri vizuri.Nikupe njia bora za kukufikisha huko
 
Salaam wadau wa elimu
Swali langu hivi kuna tofauti hipi kati ya cbg na pcb kwa upande wa usomaji wake,fani utakazosomea chuo na ipi bora zaidi ya mwenzie

Naombeni mnishauri wadau wa elimu mliopo humu jukwaani
Download kitabu cha TCU kisome kwa zile kozi unazo penda kusomea utaelewa na Utasoma sanaaaa ukupitia kile kitabu i mean guiedbook ya TCU kwa undergraduate
 
Salaam wadau wa elimu
Swali langu hivi kuna tofauti hipi kati ya cbg na pcb kwa upande wa usomaji wake,fani utakazosomea chuo na ipi bora zaidi ya mwenzie

Naombeni mnishauri wadau wa elimu mliopo humu jukwaani
mdogo wangu, PCB utakuwa daktari wa binadamu, ila CBG utakuwa profesa wa uprof wa magembe, yaani daktari wa wanyama na mimea suaaaaa, huko moro huko. uje utibie ng'ombe zetu.
 
kama amequalify, nenda PCB haraka sana, hiyo ndio kombi ambayo watoto wangu watatu wanaisoma kwa sasa na ninaamini watakuwa madaktari bingwa Mungu akipenda.
 
asante kwa ushauri wenu kwa kuwa nilikuwa na mpango wa kupig pcb na niwe medicine doctor
 
Utofauti ni mkubwa sana tu. Ukisoma pcb unaweza kuwa daktari wa binadamu au mifugo, ukisoma cbg unaweza kuwa mganga wa kienyeji au mkuu wa wachawi especially wa mashariki ya mbali. Kwa hali hiyo chagua wewe mwenyewe kulingana na kipaumbele chako.
 
Aisee!!!
 
Kama unataka kuwa daktari wa binadamu both CBG na PCB zinaweza kukufikisha ingawa CBG ina wigo finyu(vyuo vichache) na PCB ina wigo mpana.Kama unataka uwe na wigo mpana wa kuchagua kozi nenda PCB ila hakikisha unafaulu sana,

Siku hizi PCB imekuwa combination ya kawaida sana,inasomwa na wengi lakini ni wachache sana wanafikia ndoto zao za kuwa matabibu na watoa huduma za afya..Ukitaka usiwe wa kawaida kama wengine faulu sana ndio utapata shavu la kusoma vyuo kama MUHAS,KCMC,CUHAS etc ila ukitea tea utaishia Kampala(of which wale wanado busness) au St. Joseph mpya ya Boko

Kila la heri kijana wangu..kaza msuli sana..Shule ikiwa ngumu na wewe unakua mgumu..Umezaliwa kushinda.Mungu akutangulie
 
nice mkuu nimependa ushauri wako nahisi ntafanya better ninapoenda advance
 
Kama unataka kuwa daktari wa binadamu both CBG na PCB zinaweza kukufikisha ingawa CBG ina wigo finyu(vyuo vichache) na PCB ina wigo mpana.Kama unataka uwe na wigo mpana wa kuchagua kozi nenda PCB ila hakikisha unafaulu sana,

Siku hizi PCB imekuwa combination ya kawaida sana,inasomwa na wengi lakini ni wachache sana wanafikia ndoto zao za kuwa matabibu na watoa huduma za afya..Ukitaka usiwe wa kawaida kama wengine faulu sana ndio utapata shavu la kusoma vyuo kama MUHAS,KCMC,CUHAS etc ila ukitea tea utaishia Kampala(of which wale wanado busness) au St. Joseph mpya ya Boko

Kila la heri kijana wangu..kaza msuli sana..Shule ikiwa ngumu na wewe unakua mgumu..Umezaliwa kushinda.Mungu akutangulie

mkuu.tukiachana na udaktar hivi faculty nyingine za science kwa upande wa pcb na cbg kuna utofauti?
 
Back
Top Bottom