fafa nua kiaje hapo sawa??Je ni kweli kuwa Waziri wa Elimu amehoji madaraja ya ufaulu?..kama ni kweli afadhali mana yale madaraja hayako sawa kabisa..
Ni kweli kahoji kwa nini mfumo wa zamani wa madaraja ulifutwa. katoa siku saba apewe majibu ya kuelewekaJe ni kweli kuwa Waziri wa Elimu amehoji madaraja ya ufaulu?..kama ni kweli afadhali mana yale madaraja hayako sawa kabisa..