MERCENARY2015
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 284
Hii course ipo kwa vyuo vya ualimu kama monduli,kleruu,korogwe etc wanahitaji principlar mbili 2 za advance...naomba kujua hii kozi ni ya 2yrs au 3yrs??? Maana chuoni wanasema 3yrs na nacte ukiapply wanasema 2yrs