Uwanja wa ajira na Project management

MC Chere

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
586
400
Wadau naombeni mnijuze juu ya fani hiyo.Ni vipi mtu anaweza kuajiriwa/kujiajiri kwa taaluma hiyo?
 
PROJECT MANAGEMENT itakupatia ujuzi katika;
-Project Proposals Write Up, hapa utaweza kuajiriwa/ kujiajiri kwa kuandikia taasisi na kulipwa pesa yako, pia kuwa na ujuzi huu itakuwia wepesi kujiunga na wenzako na hatimaye mkaanzisha taasisi na kuandikia maandiko kwa ajili ya grants.
-Monitoring and Evaluation, hapa pia unaweza kupata kipato kwa kuanzisha taasisi ambayo ita-deal na hizi vitu, mara nyingi baada ya miradi kwisha taasisi hutakiwa kufanya kile kinachoitwa EXTERNAL EVALUATION hivyo hufanya kazi na taasisi kutoka nje kwa malipo.
-Interms of intangible gains, PROJECT MANAGEMENT itakuwezesha kuwa very organized, logic and systematic in your daily chores.
-Mengine wadau wataongezea
 
Jaman naombeni msaada mdogo wangu amesomea masuala ya social scince mwaka jana jully akafanya interview na kupita akajaza mkataba na barua ya ajira akapewa akaambiwa asubiri mshahara ukiingia ktk acc.yake ndio atapangiwa kituo cha kazi, kati ya watu 15 waliopita ni 12 tu ndio wameanza kazi toka oct. mpaka leo hajaanza kaz wala mshahara haujaingia akifatilia wanamwabia jina jina linashughulikiwa mara lilikosewa yaani shida tupu,Sasa naomben mawazo yenu afanyaje na barua ya ajira serikalin anayo.
 
Hiyo kozi nzuri sana ndugu... unaweza kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe.. mm nimesoma as course tu.. lkn ina nisaidia mtaani ssa wewe ukisoma degree au masters yake naimani utakuwa upo vzr zaidi
 
Back
Top Bottom