gabs2014
Member
- Jan 27, 2014
- 93
- 62
Kuna jambo ambalo limeanza kujitikeza kwa vijana wanaomaliza form 4 na kukacha na kwenda kujiunga na vyuo na kusoma Diploma.
Ni mtazamo mzuri kwa maana wanapomaliza kozi zao wana nafasi kubwa ya kupata kazi na kujiunga na vyuo kuliko wale wanaopita njia ya form 6.
Nadhani wizara husika inapaswa kuangalia upya hili jambo la shule za A level kama zinaweza kuwekwa katika mfumo wa vyuo ili kuweza kuwaanda vijana zaidi.