Msaada wenu wakuu

Nicolao nashon

New Member
Mar 7, 2016
3
1
Hivi kama umesomea comb ya HGL usipo somea course ya uticha unaweza somea course gani tena ambayo ipo poah ki ajira??
 
Hivi kama umesomea comb ya HGL usipo somea course ya uticha unaweza somea course gani tena ambayo ipo poah ki ajira??
Kwan ww unataka coz gani?

Kuna land valuation ipo ardhi pale..

Na coz za finance nyingi tu waweza soma..ila uwe vzuri kweny hesabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom