khalfan shaban
Senior Member
- Jan 1, 2013
- 110
- 55
Wadau wa Jf naomba kujua chuo gani kinafundisha IT vizuri na ukimaliza ajira hazisumbui kiwe private au government. Ahsanteni
khalfanshaban@gmail.com
khalfanshaban@gmail.com
Ni swali maana nahitaji kufahamu. Najua unamaanisha nigoogle ila lengo langu hata waliosoma kwenye vyuo hivyo waseme. Unaweza ukagoogle lakin ukakuta profile nzuri ila undani wake tofauti.khaaa hili nalo ni swali