Bachelor of arts in Economics

code_cobar

Member
Jul 16, 2016
96
14
Ndugu zangu nataka niijue vizuri hiyo faculty msaada kidogo katika chuo cha udsm na ardhi...
 
Ukisoma hiyo fani, jiandae kusoma na Masters ndo upate ajira...
Acha upotoshaji wewe,mimi nmepiga Economics UDSM,na nilikua nishapata kazi kabla sijamaliza mitihani yangu ya mwisho (UE),mwaka wa tatu!,na nilikua sina ndugu yeyote kwenye system, Chief kupata kazi its all about plann na kujituma bila kuchagua sana kazi for the first time...
 
Bila shaka ulipata kazi ya ubenki tela. Kama ulipata kazi as an economist, Hongera...
 
Wewe, Acha kabisa mambo ya kisenge unapozungumzia chuo kilichotukuka cha Udsm.
hapo umeharibu mkuu, je huko chuoni kwenu mnafundishwa kutukana badala ya kutoa hoja??

Wewe unawafahamu Dr Karamagi na Profesa Osoro? Mitihani hao ukiweza chomoka na karai, katambe kwenu.
Namfahamu chenge, tibaijuka, kikwete, makufuli, PIA NAIFAHAMU ESCROW, RICHMOND, MEREMETA na nyingine nyingi ambazo magraduate wa hicho chuo chako unachokiita kitufu (may be kwa wizi) wameziunda!!!
 
Ndugu zangu nataka niijue vizuri hiyo faculty msaada kidogo katika chuo cha udsm na ardhi...
Hii haiitwi faculty........inaitwa programme........ndani ya hii programe utakutana na course tofauti tofauti kila semister na miaka yotr utakapokuwa chuo ukiisoma.

Ila program inakuwa ndani ya faculty fulani.......yaani kuna faculty hii programme itakuwa chini yake
 
Nenda udsm kijana ukakutane na akina prof osoro na dk karamagi wa ec 216 na 226

Bila kusahau jiandae kwa econometrics(gujarati) hapa utakutana na akina dk leyaro dk silas na prof lokina.

Kuna QM pia
 
Acha upotoshaji wewe,mimi nmepiga Economics UDSM,na nilikua nishapata kazi kabla sijamaliza mitihani yangu ya mwisho (UE),mwaka wa tatu!,na nilikua sina ndugu yeyote kwenye system, Chief kupata kazi its all about plann na kujituma bila kuchagua sana kazi for the first time...
Dah! Kwel mkuu hongera unaweza kufanya kazi zip ?
 
Ni fani nzuri sana, mi nasoma hiyo na npo mwaka wa pili chuo cha ardhi, sema kwa chuo kama cha ardhi utaona ngumu ila udsm utaona mteremko
Sasa ndugu mkopo unao maana ni non priority na c wtt wa wakulima cjuh itakuwaje?
 
Ni fani nzuri sana, mi nasoma hiyo na npo mwaka wa pili chuo cha ardhi, sema kwa chuo kama cha ardhi utaona ngumu ila udsm utaona mteremko
Tukiacha hayo ya mteremko-nimeangalia program ya Ardhi nikakuta courses za International economics, Financial economics na Public Economics zote ni electives. Je kuna uhakika gani kama lazima zitafundishwa kama mwanafunzi atazichagua, kuna vyuo huwa wannamua kuwa mwaka huu elective ni hii au ile sio lazima zote ziwepo. Mwenye uzoefu na ARDHI tafadhali saidia. (Kwa UDSM hizi zote no core).
 
Back
Top Bottom