Msaada wana JF, aliye na ufahamu na chuo cha madini Dodoma

Madeleke

Member
Jan 30, 2014
12
1
Nina Mdogo wangu anataka kujiunga na chuo cha Madini Dodoma , Je ni kozi ipi itamfaa kati ya Petroleum and geoscience na mining engineering
 
Kila mtu anavutia upande wake hata kama course yake haipo kwenye market duh hii hatari sana
 
Sina uelewa sana na hizo course,but nipo sehemu napiga kazi hizo kuna ma Geologist ni expart kutoka senegal naona wanapiga hela ndefu,mmoja kati yao ni mtanzania analipwa U$800 per month.
 
Mining engineers wako kibao mtaani, ilikuwa deal sana 2005~2010 ila kwa ss sio deal tena
Petroleum and Gas Ndo deal kwa sasa, kazi zitaanza kumwagika kuanzia 2018/2019 so its a right time kwa watu kuanza kusomea hiyo kozi
 
Mining engineers wako kibao mtaani, ilikuwa deal sana 2005~2010 ila kwa ss sio deal tena
Petroleum and Gas Ndo deal kwa sasa, kazi zitaanza kumwagika kuanzia 2018/2019 so its a right time kwa watu kuanza kusomea hiyo kozi
Asante kaka
 
Kigezo kikubwa katika udahili ni kiwango cha ufaulu. Petroleum Geosciences inachukua vipanga zaidi. Kama amefaulu sana ni muhimu akachagua mwenyewe kwa utashi wake
 
me ni geologist ila sikushauri usome petroleum utakuwa unajibana sana sokoni hasa kwa hapa kwetu tanzania..

mwambie asome mining ina uwanja mpana sana wa ajira..kama geology ipo pia sio mbaya...hali ya mafuta haiko poa sana...
 
Jaman mliopo chuoni tupeni detail kuhusu selection vipi kwa watu walioomba moja kwa moja chuon majina wametoa wapi ?, maana kwenye tovuti yao kuna join instructions na admission letter tu ,... Labda majina hayo wametoa chuon tu hawajawek kweny tovut yao .. #msaada kwa walioko chuo cha Madini Dodoma ...
 
Hapo ukwel mi sijui ipi ipo vzuri coz mi napga Civil engineering na ipo vzuri kwa upande wangu nnavyoona

Bt kwa hapo May be anza na mining den petroleum
Kiongozi wa civil me nimeapply land management and valuation ardhi pale nimeuliza nikaambiwa kazi zangu ambazo naweza kufanya ni pamoja na civil engner kuna ukwel apo
 
Back
Top Bottom