Kozi ya diploma in primary school teaching, vigezo ni vipi?

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
420
250
Ndugu wana jf, habari, polen na majukumu.
Ninaomba kufafanuliwa kuhusiana na hii course kwa upande wa O-level. Je mtu mwenye D4 kidato cha nne anaruhusiwa kuomba course hyo? Taratibu za maombi zikoje?
 
ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
420
250
Kuna chuo niliona wametangaza hyo koz wameaandka wenye D4 nisaidien plz hao ni level ip?
 
ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
420
250
Tangazo linasema iv

Koz mpya ya kupata sifa ya kusoma stashahada ya diploma ya ualim wa shule za msingi (NTA level4)

Sifa :awe na ufaulu Alama D4 katka mtihan wa kidato cha nne.

Ndg zangu sasa hapo sielew msaada plz huwa kuna koz ya kutafta sifa ya kusomea huo ualimu na hao NTA level 4niwahitu wa ainahani?
 
kasigazi kalungi

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
3,883
2,000
Tangazo linasema iv

Koz mpya ya kupata sifa ya kusoma stashahada ya diploma ya ualim wa shule za msingi (NTA level4)

Sifa :awe na ufaulu Alama D4 katka mtihan wa kidato cha nne.

Ndg zangu sasa hapo sielew msaada plz huwa kuna koz ya kutafta sifa ya kusomea huo ualimu na hao NTA level 4niwahitu wa ainahani?
Hao ni wapigaji, vigezo vya kusomea hiyo vipo bayana kwenye website ya NACTE
 
ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
420
250
Natamani kuomba chuo mwaka huu sijui nifanyeje tu naomba mwenye kijua hyo NTA level 4 anieleze yaan hpo mi siel kitu
 
ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
420
250
ukitaka kusomea diploma unatakiwa kuwa na division 3, au certificate yoyote ile.
Sawa mkuu kwa mwenye certifocate yoyote au diploma ye anaomba vip? Nina ndg yang pia yye ana diploma ya uandish wa habari msaada jinsi ya kutuma hayo maombi
 
hassan mdidi

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
423
250
SIO 3C's BALI UNATAKIWA ATLEAST UWENA DIV3
MAANA UNAWEZA KUA NA CCC ALAF BADO UKAWA KTK DIV4
PIA UNAWEZA UKAWA NA 2A's na D's UKAWA KTK HYO DIV3
 
mandojo

Member
Jul 2, 2016
41
95
SIO 3C's BALI UNATAKIWA ATLEAST UWENA DIV3
MAANA UNAWEZA KUA NA CCC ALAF BADO UKAWA KTK DIV4
PIA UNAWEZA UKAWA NA 2A's na D's UKAWA KTK HYO DIV3

mkuu specify vizuli halo tukuelewe, ina maana CCC uwe umebalanc comb au? au elimradi uwe na dv3 /?/
 
mandojo

Member
Jul 2, 2016
41
95
SIO 3C's BALI UNATAKIWA ATLEAST UWENA DIV3
MAANA UNAWEZA KUA NA CCC ALAF BADO UKAWA KTK DIV4
PIA UNAWEZA UKAWA NA 2A's na D's UKAWA KTK HYO DIV3

mkuu specify vizuli hapo tukuelewe, ina maana CCC uwe umebalanc comb au? au elimradi uwe na dv3 /?/
 
Polisi jamii

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
2,532
2,000
Sawa mkuu kwa mwenye certifocate yoyote au diploma ye anaomba vip? Nina ndg yang pia yye ana diploma ya uandish wa habari msaada jinsi ya kutuma hayo maombi
ulisome chuo gani deploma yako ya uandishi wa habari na ulipata GPA ya ngapi kabla sijakupa maelezo yakusoma deploma in primary
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom