mr wilehard
Member
- Jun 29, 2015
- 49
- 23
Nia ya kisiasa ya kuifanya Tz ya viwanda itakuwa ni hadithi kwa hizi grade mpya za A-Level.
kwa sasa PCM, PCB, PGM, CBA, CBG na comb nyingne za sayansi weng wao wanasoma kwa malengo ya kupata D hali wakikata tamaa zaidi kwa uhaba wa walimu na vitendea kazi huku wakisikia kubwa zaidi kuwa Division 3 ni dioploma sawa na kuruduia A-level upya.
kama grade hizi zitasalia hivi mwaka kesho na baadae huko wahitimu wa kidato cha nne haatakubali kusoma sayansi kwa marunu haya.
na tukumbuke hawa ndio wa kwenda kutimiza hiyo azma ya viwanda.
TUSAHAU KABISA KUNUFAIKA COZ KWA HALI HII WATAAJIRIWA WAGENI HUMU TUTAONGEZA UNEMPLOYED POPULATION NA UMASKINI.
ELIMU SIO SIASA, TUNAHITAJI MABADILKO YA UFUNDISHAJI NA MIUNDOMBINU KWANZA NDO MBADILISHE GRADE.