Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu 2016

Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu 2016

Joined
Jul 29, 2016
Posts
8
Reaction score
9
Hakika waziri wewe ulikuwa miongoni mwa mawaziri mwaka 2014. Mliamua kusajili wanafunzi 2,000 UDOM kwa kuanzia credit moja ya "C" na mlichagua hadi watu ambao hawakuomba UDOM. Je ahadi yenu ya kusaidia wakulima iko wapi na kwanini hautaki kulisemea hili?

Tutaenda wapi mmetuacha tuna division three? Hakika sisi ni watoto wa wakulima na ningekuwa na uwezo ningekuwa nimefika kwako siku nyingi. Hata sasa hivi sijui tupangieni chuo tulio na division three. Eleweni kuwa tumesoma miaka miwili halafu tukose pa kuanzia itakuwa kama hii sio nchi yetu na kama hivyo mtupe uraia wa nchi nyngine.

Mimi mtoto wa mkulima na shule niliyosoma kwanza walimu hamna hata hvyo tumejitahidi. Tuangalizieni utaratibu la sivyo sera ya kusaidia watanzania raia kama mimi sitaiona bali ni kama kututesa.
 
Mm mwenyewe inaniuma kuona vijana wenye sifa wanaachwa njia panda wakati wakijua kabisa elimu walivyoiangaikia lakini yote ni kumuachia Mungu yy anasababu ndo maana mambo kama haya yanatokea...kwa vijana wenzangu ambao bado hatuelewi nn cha kufanya ni vyema kuomba ushauri kwa ndugu wanaokuzunguka na pia kumshirikisha muumba wako katika muongozo wa maisha yako naamini YEYE ndiye ajuaye njia sahihi na atakuonyesha wakati ukifika..
 
ahsante bwana thomas MM bnafs sjakubal manyanyaso kama hayo nikiwa raia wa nch yangu na MKATABA wazir Kasim Majaliwa walikuwa miongon mwa watu waliokubaliana nao KAMA HVYO tumpelekee hao vijana walioacha mana wengine hawakuomba huko lakn wakawapeleka UDOM si maamzi walifanya wao hili laxma lingaliwe nchi sio kutesa watu maskin Na ninchojua mm hakuna mtoto wa tajir anasomea ualim hata mmoja na Prof Ndalichako atasmin je huyo mtu ukimuacha akifka kjj atasemaje nmesoma miaka miwil nmehitm au vp HUKO NIKUONEA WANYONGE Bwan thomas
 
Watu kama ninyi itawawia vigumu kuja kuwa na upendo wa dhati kwa nchi yenu, viongozi wanatengeneza kizazi chenye chuki kwa nchi lakini wanajifanya hakuna kinachotokea. Poleni sana wandugu na msithubutu kukata tamaa, when one door is closed many more will open
 
sasa leo unakuja kusoma unamalza miaka miwil unaambiwa ONDOKA kisa wamebadilsha vigezo na ww umezaliwa kjjn na kusoma kjjn na walim wa SAYANS hakuna UNAPATA three bado UNAFUKUZWA NA MATUS JUU
 
HAKIKA WAZIRI WEWE ULIKUWA MIONGONI MWA MAWAZIRI MWAKA 2014 , MLIAMUA KUSAJILI WANAFUNZI 2,000 UDOM KWA KUANZIA CREDIT MOJA YA ""C"" NA MLICHAGUA HAD WATU AMBAO HAWAKUOMBA UDOM , JE AHADI YENU YA KUSAIDIA WAKULIMA IKO WAPI NA KWANIN HAUTAKI KULISEMEA HILI TUTAENDA WAP MMETUACHA TUNADVSION three , HAKIKA SIS N WATOTO WAKULIMA NA NINGEKUWA NA UWEZO NINGEKUWA NIMEFKA KWAKO SKU NYNG HATA SAIV SJUI,TUPANGEN CHUON TULIO NA DVSION ELEWEN KUWA TUMESOMA MIAKA MIWIL HARAFU TUKOSE PAKUANZIA ITAKUWA KAMA HII SIO NCHI YETU NA KAMA HVYO MTUPE URAIA WA NCHI NYNGINE , MM MTOTO WA MKULIMA NA SHULE NILIYOSOMA KWANZA WALIM HAMNA HATA HVYO TUMEJITAHIDI. TUANGALIEN UTARATIBU LA SIVYO SERA YA KUSAIDIA WATANZANIA RAIA KAMA MIM STAIONA BALI NI KAMA KUTUTESA .

SIJUI WAZIRI GANI UNAE MUANDIKIA BARUA HII KIHUNI HARAFU UNATEGEMEA AKUSIKILIZE AU COMUNICATIONS SKILLS NDIVYO MLIVYOFUNDISHWA HIVYO..? UMEMUAIBISHA ATA MWALIMU WAKO WA DARASA LA KWANZA ALIEKUFUNDISHA KUSOMA NA KUANDIKA. JIFUNZE KUANDIKA MAANA MAANDISHI PIA YANAWEZA YAKASABABISHA UKAONEKANA UPO SAHIHI NA MUDA MWINGINE MAANDISHI HAYO HAYO YANAWEZA YAKAKUSABABISHIA UKAKOSA HAKI ZAKO ZA MSINGI HASA UKIANDIKA KIHUNI KAMA WEWE ULIVYOANDIKA
 
Mm mwenyewe inaniuma kuona vijana wenye sifa wanaachwa njia panda wakati wakijua kabisa elimu walivyoiangaikia lakini yote ni kumuachia Mungu yy anasababu ndo maana mambo kama haya yanatokea...kwa vijana wenzangu ambao bado hatuelewi nn cha kufanya ni vyema kuomba ushauri kwa ndugu wanaokuzunguka na pia kumshirikisha muumba wako katika muongozo wa maisha yako naamini YEYE ndiye ajuaye njia sahihi na atakuonyesha wakati ukifika..
KAKA HUYU ALIEANDIKA HII POST HANA SIFA KIJANA MWENYE SIFA HAWEZI KUANDIKA KAMA ALIVYOANDIKA
 
Back
Top Bottom