Kwa vigezo hivi huenda tukakosa wanasayansi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,154
13,223
Kwa udahili wa kuweka vigezo sawa baina ya wanafunzi wa sayansi na Arts nina wasiwasi sana huenda tukakosa wanasayansi siku za mbeleni na kulazimika kuazimia toka nchi kama RWANDA

Katika mfumo wa zamani minimum entry qualifications zilikia tofauto na wa sanaa kulingana na ugumu masomo sasa leo mwanafunzi aliyechukua PCB ama PCM amewekwa kwenye vigezo sawa na Arts maana yake wanafunzi wengi wata-opt Arts
 
Amavubartost: 16965535 said:

Kwani Huyo wa art hafanyi necta??

Mm naona ni sawa tu mkuu tuache kulalamika sana kila somo lina ugumu wake
 
Uko sahihi, viwango vya ufaulu kwa Sayansi na Sanaa vingepaswa kuwa tofauti, LAKINI kwa viwango vya sasa vya ufaulu wako SAHIHI. Kwa maoni yangu, cut off points kwa Sayansi zingekua 5, na Arts zingekua 6. Utaratibu huu ulishawahi kutumika miaka ya nyuma (less than 10 years ago) sioni sababu kwanini usitumike sasa
 
mkuu umeongea ukwel ila kwasasa athari haiwez onekana subil kama miaka 5... ndo utaona upungufu wa wanafunz kuchukua hayo masomo
ujue ktk managament kunakitu muhimu kinaitwa motivation hutolewa ili ufanisi wa kaz ufanikiwe nadham viongoz wetu kidogo elimu yao pia yaweza kua na mashaka ndan yake
science inatkiwa iwe motivated&promoted ili wanafunz waipende na kuongeza idadi ya takers ya hayo masomo ili kupata wanataaluma mbalimbali kama waandisi na madokta na hatima kifikia nchi ya viwanda
me nafikil mh magufur alione hili vinginevyo aweke kama ndoto kufikia huko
MFANO KAKA YANGU KAMALIZA UDSM INDUSTRIAL ENGINEER KWA PCM=EED LEO HII NI BONGE LA ENGINEER KTK KIWANDA CHA SSB AZAM
SO TUSIKARIRI ET MWENYE HIGHER PASS MARK NDIYE BORA KWENDA CHUO
MFUMO WA VIWANDA UTAFERI KAMA HAKUNA ANY CHANGES
PIA SISHANGAI KWAN WAZIRI WA ELIMU NI ARTS PURE HAWEZ ONA HAYA
 
AISEE NAMISHANGAA SANA
KILA MTU ANASOMA KILE ANACHOKIWEZA VIPI UANZE LAWAMA.
ACHENI HABARI ZA KUONA DAKTAR N BORA KULIKO MWANASHERIA.
WOTE WANATEGEMEANA.
NAOMBA TU MSIJIDHALILISHE KUA NYIE N BOGUS,
MBONA KUA WANAOPATA ONE,VIP WE USHINDWE KUIPATA.
 
Rabiel;

Kweli unalinganisha Biology advance na History katika mazingira za shule zetu hizi za serikali? no library..no maabara..no teachers...poor shelters... poor food
 
mimi sio mwasilika tayari nimeshakua graduator na tayari nipo ofisin ila huo ndo ukwel serikali ya viwanda haitopatikana kwa hizo formula zinazotumiwa na serikali ni ya kindergaten
utalinganisha vip taarabu na hip hap?
arts ni taarabu coz ntantalila nying
 
Kweli wewe ni "graduator" na si "mwasilika". Taarabu na "hip hap" ni tofauti kwa kweli.
 
mkuu umeongea ukwel ila kwasasa athari haiwez onekana subil kama miaka 5... ndo utaona upungufu wa wanafunz kuchukua hayo masomo
ujue ktk managament kunakitu muhimu kinaitwa motivation hutolewa ili ufanisi wa kaz ufanikiwe nadham viongoz wetu kidogo elimu yao pia yaweza kua na mashaka ndan yake
science inatkiwa iwe motivated&promoted ili wanafunz waipende na kuongeza idadi ya takers ya hayo masomo ili kupata wanataaluma mbalimbali kama waandisi na madokta na hatima kifikia nchi ya viwanda
me nafikil mh magufur alione hili vinginevyo aweke kama ndoto kufikia huko
MFANO KAKA YANGU KAMALIZA UDSM INDUSTRIAL ENGINEER KWA PCM=EED LEO HII NI BONGE LA ENGINEER KTK KIWANDA CHA SSB AZAM
SO TUSIKARIRI ET MWENYE HIGHER PASS MARK NDIYE BORA KWENDA CHUO
MFUMO WA VIWANDA UTAFERI KAMA HAKUNA ANY CHANGES
PIA SISHANGAI KWAN WAZIRI WA ELIMU NI ARTS PURE HAWEZ ONA HAYA
Nani kukudanganya Ndalichako ni arts ????
 
Elim yenyew ya advance haitoi wanasayans Bali ni kukarir madesa tu.. Hpo tunapim uwezo wa kukarir tu bas sayans anavitu ving vya kukarir kw Tz
 
Kweli mkuu, kwa msuli ule umwambie apate kuanzia 50 masomo mawili ndo aende Chuo kikuu tutapata wachache, hasa wa st.flani
 
Soma unachokiweza na uwe na uhakika wa kufaulu!Hao walijaziwa fom za kujiunga kidato cha tano au?Wanataka wasomi waliofaulu kwa kiwango wanachotaka bila kuangalia combination,nadhani kwanzia mwakani watu wataacha kuchagua comb kwa sifa
 
ndio maana nasema huenda wengi wakaangukia arts
 
Back
Top Bottom