Hivi ukibadili priority ya vyuo, mbona idadi ya competition ya wanafunzi haibadliki?

DENICE ADRIAN

Senior Member
Feb 14, 2014
127
30
hv jamen mbna ukichange priorty ya vyuo mbn competition haichenj yaan labda umetoa cha kwanza ukaweka cha pili na cha pili ukakiweka cha kwanza mbn idad ya competition haichenj au ndo unakuwa umekosea au uhurusiwi kabsa! msaada plz;!!
 
Hata mimi nimechange priority sana ila competion iko pale pale. Nahisi system yao bado haiko sawa
 
Embu ombeni chuo.. Hayo mengine waachieni wenyewe.. !
 
Idadi ya applicants haiongezeki, mfano st John walio apply nursing kama first priority wapo 78 tokea mwez wa 7 idadi ipo hivi hivi, haiongezeki wala haipungui. Nahisi system yao itakua na matatizo
 
IT waO chengA bt cha msingi ni kupata chuo vingine waachie wenyew na ushalo wao
 
hv jamen mbna ukichange priorty ya vyuo mbn competition haichenj yaan labda umetoa cha kwanza ukaweka cha pili na cha pili ukakiweka cha kwanza mbn idad ya competition haichenj au ndo unakuwa umekosea au uhurusiwi kabsa! msaada plz;!!
Kwani uliprint machaguo
 
Ukiediti unatakiwa uprint tena ndo TAARIFA ziwafikie tcu kwa Mara ingine ..! other wise mabadiliko yako utayaona wewe mwenyewe ila TCU hayajawafikia ! Ila watakua na Yale ya awali ulojaza ! Mi ndo nnavyofahamu ivyo
mkuu mimi niliaply kitambo lkn nimekuwa nkibadlisha au edtt kila mara bila kuprint coz nliprint mara ya kwanZa..bt mkuu kama unauzoefu nifanyeje sa hv? afu kama nimefuta machaguo yote na kuanza upya si itaonekana ndo nimeaply leo ikiwa ntaprint...msaada mkuu
 
Apo sasa cjajua xana itakuaje but ngoja tusubiri wadau wengine waje watujuze
 
mkuu mimi niliaply kitambo lkn nimekuwa nkibadlisha au edtt kila mara bila kuprint coz nliprint mara ya kwanZa..bt mkuu kama unauzoefu nifanyeje sa hv? afu kama nimefuta machaguo yote na kuanza upya si itaonekana ndo nimeaply leo ikiwa ntaprint...msaada mkuu
Kwani ikionekana umeapply leo kuna tatizo..!?
 
mkuu mimi niliaply kitambo lkn nimekuwa nkibadlisha au edtt kila mara bila kuprint coz nliprint mara ya kwanZa..bt mkuu kama unauzoefu nifanyeje sa hv? afu kama nimefuta machaguo yote na kuanza upya si itaonekana ndo nimeaply leo ikiwa ntaprint...msaada mkuu

Mwisho mpaka tarehe 31/08 wenye three wakiwahi kuomba wenye one wakachelewa, wenye One watapata wenye three wataongezewa kama nafasi zitabak.Hakuna cha ujanja kuwah cha msingi tokeo lako likoje tu ndiyo kwenye COMPETITION.
 
mimi nimebadili jana imechanga idadi ya watu japo niliapply toka siku ya kwanza
 
Back
Top Bottom