Jamani msaada tafadhali

Jamani msaada tafadhali

ancosam

Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
5
Reaction score
3
Nimeingia katika mfumo wa usajili wa nacte ujulikanao kama CAS,nikafanya uchaguzi wa kozi mbali mbali,mpaka kufika tarehe ya mwisho 5 august,tatizo langu ni kwamba baada ya kuongeza muda wa maombi kuanzia 8-13 august profile yangu haikubali kuedit na kufuta machaguo yaliyo tangulia ili niweke mingine,je nimekosewa wapi?au matatizo yakwao wenyewe ya kiufundi?
 
kwani waliwaambiaje nyie si walisema ambao mmeshaomba msibadili machaguo sasa unabadil nn ndo nyie mkikosa mnalalamika!
 
Back
Top Bottom