Bachelor of science in beekeeping science and technology

Hahahah hakuna haja ya kusoma nenda kwa Wanyamwezi hapo tabora wanaujuzi kuliko ukapoteza muda darasani yaani ujuzi wao hauitaji darasa na unanishangaza unaposrma kuna ajira kwani kuna shirika la nyuki la taifa.
 
wewe unasoma kupata ajira au kupanua uwezo wako wa kufukiri na kutenda? ndio maana Nchi hii itabaki kuwa masikni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom