Msaada kuhusu TCU

Msaada kuhusu TCU

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,651
Reaction score
3,658
Habari zenu humu...
Mimi ni kijana mtanzania nimemaliza kidato cha sita. Mchepuo wa hgl...nimefaulu kwa kupa daraja la pili na point 12....nimeamua kujaza TCU application mwenyewe kwa kutumia smartphone angu....
Nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna sehemu nimekosea nisahihishwe ili in edit....
Na pia nilikuwa naomba kujua he kama chuo kina hitaji wanafunzi 90 je wakizidi hiyo idadi wanaangalia mini ???waliowahi kuomba au ufaulu wa mtu
 
uploadfromtaptalk1470910513345.png
uploadfromtaptalk1470910525611.png
 
Nimetumia account nyingine kwan nilikuwa nashindwa Ku upload hizo screen shots
 
Habari zenu humu...
Mimi ni kijana mtanzania nimemaliza kidato cha sita. Mchepuo wa hgl...nimefaulu kwa kupa daraja la pili na point 12....nimeamua kujaza TCU application mwenyewe kwa kutumia smartphone angu....
Nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna sehemu nimekosea nisahihishwe ili in edit....
Na pia nilikuwa naomba kujua he kama chuo kina hitaji wanafunzi 90 je wakizidi hiyo idadi wanaangalia mini ???waliowahi kuomba au ufaulu wa mtu[/QUOTE]
Wanaangalia ufaulu wako tu-utakavyoshindana na hao waliomba nafasi hiyo.
 
Habari zenu humu...
Mimi ni kijana mtanzania nimemaliza kidato cha sita. Mchepuo wa hgl...nimefaulu kwa kupa daraja la pili na point 12....nimeamua kujaza TCU application mwenyewe kwa kutumia smartphone angu....
Nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna sehemu nimekosea nisahihishwe ili in edit....
Na pia nilikuwa naomba kujua he kama chuo kina hitaji wanafunzi 90 je wakizidi hiyo idadi wanaangalia mini ???waliowahi kuomba au ufaulu wa mtu
UDOM eka namba 2.
MKWAWA namba 3
Saabu udom kipo poa kuliko mkwawa pia compttn yake kubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom