Gabby 1728
Member
- Jul 11, 2016
- 38
- 10
Za jioni wana jf mimi naombeni msaada wenu juu ya hili ...niliapply coz ya Afya kwa ngaz ya diploma mwezi wa 3 nikawa sijachaguliwa wakasema tuapply second round kule Nacte nikaapply tena sasa nauliza vipi ikatokea sijachaguliwa tena second round nifanye maamuz gan...naombeni msaada wenu ..