Msaada wa machaguo ya vyuo TCU

DENICE ADRIAN

Senior Member
Feb 14, 2014
127
30
mimi leo nimefuta machaguo ya vyuo huko tcu na nkaanza kuomba upya.nimeomba HUBERT KAILUKI COZ YA MD BT NIMEKUTA watu 172 wameomba hv mm naweza kupata nafasi kwel ukiangalia nafas zilizopo ni 170. mm nina two ya 10 ya pcb .phy d chem c bios c bam s g.s e...msaada plz
 
Sababu za kufuta machaguo ya kwanza?
 
kama kuna applicants umewazidi kwa performance unaweza kupata.. mda mwingine wakiongezeka wawili watatu zaidi ya ile idadi iliyopangwa wanachukua wote.. usiwe na hofu.
 
WAFUNGWA WAKO GEREZANI.........MARA WANASIKIA VISHINDO VYA HATUA VIKIPITA NJE YA GEREZA.......MMOJA WAO ANAULIZA "NI AFANDE NANI HUYO".....
 
kama kuna applicants umewazidi kwa performance unaweza kupata.. mda mwingine wakiongezeka wawili watatu zaidi ya ile idadi iliyopangwa wanachukua wote.. usiwe na hofu.
hv tcu hawaangalii na muda ulioomba chuo?
 
hio haipo, wanaangalia uwezo.
inaonekana una uzoefu mkuu! hebu nsaidie tena..mfano mm niliaply ktambo bt nimekuwa nkifanya edtt bila kuprint coz nliprint awali kipind naanza kuaply vp kuna haja ya kuprint baada ya edtt!
 
mimi leo nimefuta machaguo ya vyuo huko tcu na nkaanza kuomba upya.nimeomba HUBERT KAILUKI COZ YA MD BT NIMEKUTA watu 172 wameomba hv mm naweza kupata nafasi kwel ukiangalia nafas zilizopo ni 170. mm nina two ya 10 ya pcb .phy d chem c bios c bam s g.s e...msaada plz
Dogo mbna ujatulia!!
Minahis unatudanganya matokeo yako.
inaezekana hujapata dvsn2 ya 10!!
Kama unahuo ufaulu nakwambia jaza udsm ya kwanza medicine ukikosa labda siyo mm mzoefu!!
Last year UDSM MD walichukua mpaka Merit yaan dvsn2 na ilikua BRN mwaka huu wnyw dvsn 2 y mwanzo UDSM mnapata.
Ila kama umepata hyo point y nn uangaike na Hubert Kairuki.!?
1.UDSM
2.AJUCO
3.KAIRUKI
ALL THE BEST
ufaulu wako n mkubwa Donworry about cmpttn from other applicant.
 
inaonekana una uzoefu mkuu! hebu nsaidie tena..mfano mm niliaply ktambo bt nimekuwa nkifanya edtt bila kuprint coz nliprint awali kipind naanza kuaply vp kuna haja ya kuprint baada ya edtt!
wanaoprint ni wale wanaopenda kuweka kumbukumbu ya vyuo walivyoapply, sio must!
 
kua na two ya 10 sio fact.
Wenye point 10 ni wengi tyu swala ni competition
Cha msingi ni kuangalia
Competition ya chuo husika. Na ufaulu wako!
 
Mdogo wangu huyu ana wenge anahangaika kinoma.Skia dogo kama kwenu wapo vizuri kipesa acha hivyo hivyo na nakuahidi utachaguliwa hiyo first priority
 
Back
Top Bottom