Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
INAWAHUSU WAHITIMU
kutoka necta kuna haya
wanafynzi wa PCB 2016 wenye points 10, 9, NA 8 IDADI yao ni 387 na wenye points 7 ni 337,
facults zenye points hizo ni MD MUHAS, MD UDSM, PHAMAS MUHAS, na DENTAL MUHAS na zoote zinahitaji jumla ya wanafunzi 400 tu ikiwemo ninyi wa mwaka huu, wa miaka ya nyuma, wanaojiendeleza kutokea makazini, wanaorudia mwaka na wanaotokea diploma. so coz hizo kwa makadilio ya chini zinagombaniwa na watu takribani 750 wenye vigezo
wenye points 6 kwa PCB pekeake ni 741 na faculty inayohitaji point hizo ni NURSING MUHAS, kumbuka faculty hii inachuliwa kwa kigezo cha biology na chemistry yaani PCB, CBG, CBA, na CBN. hivyo kwa makadirio ya chini kozi hii itagombaniwa na takribani watu 1500. ikiwemo wa mwaka huu, miaka ya nyuma, wanaotokea makazini, wanaorudia mwaka na wanaotokea diploma
kumbuka watu wengi kwa hali hiyo watakosa vyuo katika hao, kisha watapata katika facults zenye point 5 kwa maana kwamba hao ndio wanaonyakua kabla ya wenye points 5,
kumbuka facults za afya zinazohitaji points 5 ni BMLS's zote za MUHAS, MD CUHAS, MD KCMC, MD AJUCO, MD KAIRUKI, PHAMACY CUHAS, ENV SCIE MUHAS na zingine ambazo sijazitaja, zooote kiujumla zinahitaji watu 860, na hapa kuna compitition isiyo ya kawaida maana wenye sifa ni zaidi ya mara tatu ya admission capacity
A N G A L I Z O O O O
1,usipende kumuiga mtu katika kutuma maombi ya chuo
2,usiwaruhusu familia wakuamulie ukasome nini lkn waruhusu wakushauri
3, usijifariji kwamba mwaka huu hakuna COMPITITION
4,usijaribu kuomba facults USIYO NA KIGEZO NAYO utaumia eg mtu ana point 5 anaomba MD muhas ya point 8
5,ogopa sana kuwa mtu wa kubadilibadili machaguzi kila mara, utakua wamwisho ku'processiwa
6,ogopa kuacha nafasi wazi kwa jeuri ya points zako sio vizuri hata kidogo
ZINGATIA
kuna watu watakosa vyuo kwa kuto kujua sheria hizi tatu
1, ni lazima kujaza nafasi tatu ie jaza au nne au tano
2, hairuhusiwi kujaza nafasi nne au tano chuo kimoja, kama ni chuo kimoja jaza facults tatu tu
3, hairuhusiwi kujaza nafasi nne au tano facult moja, kama facult ni ileile basi ijazo mara taatu tu
hivyo katika machaguzi viwepo vyuo kuanzia vi3 hadi vi5
usipozingatia hayo utajionea namna watu wanavyokosa vyuo mwaka huu kisha waanze kulaumia serikali ya magufuli
USHAURI WANGU KWA WAHITIMU WA MWAKA 2016
ukiona we ulipata point nne yaani una DD AU EC katika matokeo yako basi usisahau kuomba EDUCATION walau moja ata kama hupendi na kama unapenda afya tuu basi usisahau chuo kikuu cha KAMPALA yaani KIU na KAIRUKI yaani HKMU, kwa sababu sasa ebu jifikirie, kama
usipoenda wewe katika izo nani aendeeee nawewe ndo una minimum admissions point.