MWL WALTER
Member
- Jul 20, 2023
- 6
- 4
Ndugu Admin,
Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho.
Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA DC Mimi nije katika idara ya elimu ya msingi, hususan katika wilaya za Morogoro:đź”´ GAIROđź”´ KILOSAđź”´ MOROGORO MANISPAAđź”´ MVOMERO
Iwapo kuna tangazo lolote linalohusiana na uhamisho au anayehitaji kubadilishana kituo, tafadhali wasiliana nami kwa njia ya inbox ili niweze kulitangaza kwa utaratibu unaofaa.
Kwa yeyote anayehitaji kujiunga na kundi, tumia link ifuatayo:WALIMU KUBADILISHANA TANZANIA
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
Kwa pamoja, nguvu mpya na ari mpya.
0766224929